ALPHONSE MATA : Tungali na mda wa kumaliza kazi za ukarabati wa barabara.
Je, tuko wapi na mradi wa ukarabati wa kilomita mia saba huko Maniema ambao mpango jumuishi wa kusaidia maendeleo ya vijijini, PADRIR, italazimika kutekeleza? Kwa vyovyote vile, swali hili linaulizwa