Daktari Babah Mutuza : Wakati wa jua kali tuepuke maji isiwaishe watoto mwilini
Katika jiji la Beni, wataalamu wa afya wanatoa wito kwa wakazi kuwa makini sana na masuala ya afya katika kipindi hiki cha jua kali ambacho kimeshuhudiwa katika eneo hilo tangu